Umuofia kwenu, kwa takribani miezi minne sasa nilishuhudia mbegu mpya kabisa ya panya nyumbani kwangu.
Panya hao wana muonekano tofauti na hawa wetu na cha ajabu kabisa wanawawinda panya wale wa...
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana
Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
Sote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia...
Kusema kweli jf kwani ni lazima mje na maboresho kila siku?App yenu ilikua poa sana siku za nyuma na miaka ya nyuma, labda changamoto ilikua ni baadhi ya nyuzi kutofunguka kwenye app labda kwenye...
1. Sare za chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa - TALGWU
2. Sare za chama cha wafanyakazi wa Afya na Serikali - TUGHE
3. Sare za chama cha walimu Tanzania (CWT)
Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali.
Courses ni masters ya leadership na education leadership.
Uingereza nimepata vyuo vinne.
Sweden chuo 1
Finland 1
Poland 1
Tatizo ni uwezo wa...
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
Serikali ya Haiti imesambaratika baada ya aliyekuwa kiongozi wake kujiuzulu kwa shinikizo la makundi ya mitaani yakiongozwa na Vitel'homme Innocent
Kiongozi huyo wa makundi ya kihalifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.