Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Triple C mwamba wa Lusaka kaondoka kambini bila ruhusa baada ya uongozi wa Simba kutompa posho ya kombe la muungano. Pia ana dai kuwa kwenye mkataba wake walikubaliana kila Simba iki chukua kombe...
3 Reactions
18 Replies
406 Views
Wakuu habarini za asubuhi. Kama kijielezavyo kichwa cha habari hapo juu, hekima zenu zinahitajika kutoa ushauri juu ya jambo naloenda lielezea hapa chini. Mathalan una mchumba na umekwishamtolea...
0 Reactions
26 Replies
195 Views
Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go. Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim...
25 Reactions
334 Replies
4K Views
Ni kweli kwamba Mvua inaleta demage karibu kila mahali inaponyesha, lakini kwa kweli kwa Tanzania ujenzi duni wa Barabara unaoongeza mno shida, hebu angalia Barabara hii, angalia kiwango cha lami...
5 Reactions
8 Replies
283 Views
Tangu niliposikia kauli ya Mbunge Sospiere Mukweli akisema kwamba ujenzi wa mabwawa ya kufua umeme kwa sasa yamepitwa na wakati, akili yangu imevurugika kabisa nisielewe nini kinaendelea kichwani...
15 Reactions
71 Replies
8K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
72 Reactions
403 Replies
8K Views
Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi? Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaidiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah Nyie si ndio...
8 Reactions
21 Replies
403 Views
UKWELI KUHUSU WAMAKONDE Wamakonde: Wenye mila ya Kuchonga na Utamaduni Afrika Mashariki wanatikana Katika misitu yenye majani mengi ya kusini mwa Tanzania na kaskazini mwa Msumbiji, ni watu wa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,432
Posts
49,519,239
Members
667,103
Latest member
nicolaus9991
Back
Top Bottom