Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Unakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje? Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi...
0 Reactions
13 Replies
132 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Watabisha sana lakini kauli ya waziri wa elimu kuhusu ajira za walimu ni kauli za udhalilishaji wa waalimu na Maprofesa wa vyuo husika! Kama mitaala ya vyuo vya walimu inasimamiwa na wizara ya...
4 Reactions
13 Replies
577 Views
Baada ya Mapumziko ya Jumapili, leo tena ile kazi ya Ukombozi wa Nchi inaendelea. Tundu Lissu anaongoza Maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mkoa wa...
7 Reactions
52 Replies
818 Views
- Humu kila mtu amejenga na anakaa kwake na kama amepanga basi bado hajaamua tu kujenga na sio kama amekosa pesa. - Walioamua kupanga nyumba basi wote wamepanga kwenye apartments moja matata sana...
4 Reactions
20 Replies
213 Views
Msichojua ndo hicho sasa Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia...
3 Reactions
21 Replies
306 Views
Kwa mara nyingine siasa zimeingilia hii game tutaona kama ni team zitafungiwa au ni nchi zitafungiwa jumla Au wataogopwa vile ni waarabu maana ingekuwa nchi kama tz Motsepe na genge lake...
3 Reactions
9 Replies
537 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kushirikiana na Familia yake wamechangia kiasi cha Millioni 100 yaani mia moja ,ujenzi...
9 Reactions
109 Replies
3K Views
Kama dini zote kuu mbili ,yaani Ukristo na uislam wana misahafu yao ambayo ndo kama katiba za hizo dini yaani wakristo wana Biblia Waislam wanatumia Qorani Kwanini madhehebu yanapoenda kusajiliwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mpango wa Marekani kuzuia baadhi ya nchi kuwa na silaha za nuclear sio sahihi tena kipindi hii ambapo kuna kushuhudia kuongezeka kwa vita na migogoro kati ya nchi. Kinachotakiwa sasa hivi ni kila...
0 Reactions
6 Replies
128 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,458
Posts
49,519,956
Members
667,130
Latest member
niite_carlos
Back
Top Bottom