Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari, wakubwa mimi kijana wa kiume 31 miaka. Naomba kwa mtu anayeweza kuwa mwalimu wangu wa ngumi, au kuniunganisha na mwalimu wa martial art, awe anapatikana manispaa ya kigoma ujiji...
3 Reactions
93 Replies
890 Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
13 Reactions
144 Replies
1K Views
Kuna wale ambao mungu ametupendelea hata tukikaa jela miezi kadhaa huwa hatuchuji, tunafanyiwa figisu za hapa na pale ili tuharibikiwe na kufubaa lakini bado tunazidi kung'aa tu na maadui zetu...
3 Reactions
44 Replies
504 Views
Hakuna salamu hapa, kwanza Sio chakula au mtaji wa kufungulia biashara! Ni hivi kama kichwa kinavyojieleza hapo, Hivi sisi watu weusi tuna shida gani aisee? Kila alipo mtu mweusi katika Dunia...
0 Reactions
6 Replies
46 Views
Mpango wa Marekani kuzuia baadhi ya nchi kuwa na silaha za nuclear sio sahihi tena kipindi hii ambapo kuna kushuhudia kuongezeka kwa vita na migogoro kati ya nchi. Kinachotakiwa sasa hivi ni kila...
1 Reactions
16 Replies
266 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
67K Views
ChatGPT ni artificial intelligence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana Hii kitu nimekuwa...
13 Reactions
845 Replies
54K Views
Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata. Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
heyyyy sawa wanasimba tumekubali benchika kwenda kumuuguza mkewe, swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake?? tunachanganyikiwa shagala bagala
1 Reactions
23 Replies
308 Views
Unakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje? Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi...
6 Reactions
59 Replies
773 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,510
Posts
49,521,566
Members
667,149
Latest member
Ellen Maguzu
Back
Top Bottom