Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Baada ya maswali kuwa mengi juu ya msemo wake maarufu “ukija bila gadi nagawa kwa idadi ya wastani” , kijana muuza madafu ameweka wazi kuwa ule ni msemo tu na haina maana kuwa yeye ni mtu wa...
0 Reactions
9 Replies
470 Views
Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo 1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Muhimu: Gharama hizo ni kwa mwaka moja pekee Kampuni ya Pegasus ya Israel hutoa huduma ya kudukua smartphones (hata iphone) kwa dau la shilingi bilioni 57 kwa simu 50 ( euro milioni 20.7)...
4 Reactions
24 Replies
761 Views
Unakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje? Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi...
6 Reactions
61 Replies
904 Views
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
2 Reactions
122 Replies
31K Views
1) Mfalme Nero 2) Mfalme Nebuchadnezzar 3) Alexander the Great 4) Adolf Hitler
1 Reactions
14 Replies
121 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Yuko wapi huyu mwamba alifanya jahazi kuwa kipindi kizuri sana ni muda sijapata kumsikia popote pale.. Je alikuwepo kwenye msiba wa G??
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama . Christina...
5 Reactions
26 Replies
551 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,523
Posts
49,521,988
Members
667,150
Latest member
Ellen Maguzu
Back
Top Bottom