Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Madini ya dhahabu ya mesothermal ni mifumo ya kijiolojia yenye kuvutia ambayo hutokea nusu ya njia wakati wa kupanda kwa vilivyoyeyuka kutoka kwa ganda la ndani lenye mishipa ya mesothermal...
Hello everyone,
I'm reaching out for advice and perspective on a challenging situation I've found myself in. My name is David, and for almost three years, I've been in a relationship with Sarah...
Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi...
Orodha imepangwa kuanzia wa kwanza Hadi wa 15.
---
Africa's Most Beautiful Women
1. Ethiopia
2. Nigeria
3. Tanzania
4. Kenya
5. South Africa
6. Ghana
7. Zimbabwe
8. Egypt
9. Congo
10...
Habari wanaJF,
Niende kwenye point, nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo. Siyo kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya...
Habari wanajamvi,
Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi.
Naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.