Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Nadhanu wa tz hatuna budi kumpongeza Utawala wa JK kwa kutupatia uhuru wa kusema, kujadili na kuamua hatma ya nchi yet. nadhani na tukubali kwamba sasa tz imetoka kwenye utawala uliokuwa kila kitu...
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi...
Mimi ni kijana ninaetarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 ( ualimu digrii)
Nataka kuendelea na masters baada kumaliza, na KOZI nazopendelea kuzisoma masters ni hizi zifuatazo;
1. Parasitology and...
Ng'ombe tayari wamenunuliwa wake Mecco nyumbani kwa Khalid Bitebo wakichungwa mara ya mwishomwisho.
Kesho asbh na mapema watu wanaanza na supu then dude lenyewe mida ya mchana.
Kiingilio ni uzi...
Wapedwa Wana jf napata shida Sana kutumia Muundo mpya wa jf.
Yaani kwa kweli Kama Kuna mtu anayeweza kunielekeza Kama Kuna uwezekano .
Ukiwa unafwatilia uzi kwa wachangiji wa uzi lbda no 210 kuja...
Kuelekea siku ya wafanyakazi nchini Mei mosi, vijana ambao wanahitimu elimu ya vyuo vikuu tunaomba Serikali yetu chini ya Rais wetu mpendwa Mama Samia na timu yake yote tunamuomba jambo moja nalo...
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.
Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.
Karibuni kwa maswali.
Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako.
Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza.
Adui -ni yule anayepambana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.