Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu habari, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
4 Reactions
123 Replies
992 Views
  • Poll
Utafiti huu unalenga kujua ni kisimbuzi gani kina maudhui mazuri na kushawishi wateja kulipia.
0 Reactions
4 Replies
110 Views
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika? 2. Kwamba kwao sasa ni kama kwetu tu na Muroto? Hawa ndugu wakimnyooshea kidole jiwe, dhidi ya migomo na maandamano...
3 Reactions
28 Replies
348 Views
Wakuu, Mimi nakumbuka nilijaribu kupika wali. Nikaandaa kila kitu freshi, weka mchele wangu safiii 😂😂😂. Wakuu nilitoa bokoboko si la nchi hii, jina likabadilishwa fasta nikaanza kuitwa...
10 Reactions
96 Replies
4K Views
Simba na Yanga walishwahi kumtaka Abdul Suleiman Sopu lakini bwana mdogo alikataa ofa za mapacha na kukimbilia chamazi (azam ) siyo kwamba labda bwana mdogo alikua hataki exposure za mapacha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito. Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja...
1 Reactions
6 Replies
87 Views
Habari za uhakika ni kwamba yule Kocha aliyefeli vibaya simba kuliko makocha wote ameomba kuondoka simba ifikapo mwisho wa msimu. Sababu ni kwamba Simba hawampi thamani pia haoni mipango yoyote...
13 Reactions
90 Replies
3K Views
Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
19 Reactions
158 Replies
2K Views
Katika mambo ambayo yamekuwa yakieleweka vibaya, kukanganya na pia kuzua dhihaka kutoka kwa watu wasioipenda Israel ni pamoja na hili la kupewa misaada wa jeshi/ silaha na Marekani pamoja na kuwa...
2 Reactions
26 Replies
363 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,168
Posts
49,510,281
Members
666,990
Latest member
swel
Back
Top Bottom