Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Sticky
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie...
86 Reactions
14K Replies
1M Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Salaam wadau. Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
7 Reactions
19 Replies
650 Views
Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe...
45 Reactions
77 Replies
3K Views
Shalom, Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo...
0 Reactions
9 Replies
253 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
162K Replies
4M Views
Hello, wapenzi wangu kama mnavyojua nyuso zetu zinakumbana na changamoto nyingi,kma chunusi, makovu, weusi kwenye macho na mambo mengi kutokana na sababu mbalimbali kama hormones, jua, vyakula n.k...
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Kwa wasioijua Same Sekondari ni moja ya shule Kongwe za Serikali tanzania iliyoanzishwa mwaka 1952. Shule hiyo imekuwa inatoa kidato cha kwanza hadi cha sita (boys). Kulikuwa na jitihada kadhaa za...
0 Reactions
0 Replies
5 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,231
Posts
49,512,521
Members
667,027
Latest member
Safisha99
Back
Top Bottom