Wakuu habari za weekend
Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
Ng'ombe tayari wamenunuliwa wake Mecco nyumbani kwa Khalid Bitebo wakichungwa mara ya mwishomwisho.
Kesho asbh na mapema watu wanaanza na supu then dude lenyewe mida ya mchana.
Kiingilio ni uzi...
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
Watanzania acheni uzishi. Acheni kunisingizia kama mi ndio nilikuwa nauza madafu Ikulu.
Uzushi haupendezi, nimeona nije niwapashe ukweli nyie wazushi wa JF.
Mkome kunipakazia.
Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida.
Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Inaaminika kuwa ni ujanja kula Hela ya mtu na kukimbia na kutangaza kuwa sio taipu yangu, mshamba, kajipendekeza etc.
Spiritually ( kiroho) mtu akikupa kitu chake, ukapokea, tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.