Mbarali kunafuka Moshi tu kwasasa. Yaani moto hauwaki Wala kuzima
Mwezi Oktoba mwishoni Serikali ilitangaza maeneo yatakayopisha hifadhi. Wakati tangazo likitolewa tayari baadhi ya maeneo...
Mwenyekiti Mbowe anasema Maridhiano ndio yataleta majawabu ya nchi kufunguka kisiasa ikiwemo kurejeshwa Mikutano ya siasa
Lisu anasema akirudi nchini moja kwa moja anaanza Mikutano ya hadhara...
Nyumba lazima iwe ya moto yaani wakati wowote kinahappen mara wametokea wamama wa vikoba wamefuata rejesho kwa mkeo maana bidada kakopa halafu kauchuna hataki kupeleka rejesho imebidi wamama...
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa
- hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533]
-...
Nimeridhishwa jinsi Waziri Mkuu Majaliwa anavyo simamia watendaji serikali ili wawe mstari unaoeleweka.
Kizuri ni mtu kuchukuliwa hatua pale pale bila kupepesa macho wala kuremba. Wateule wa vyeo...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
Awali ya yote wanakidoni Binafsi Huwa hatupendi kushabikia jambo bila kujuwa nyuma ya pazia Kuna Nini?
Siku zote ukiona mtu wa operation ana expose ile operation basi ktk jicho lakijasusi maswali...
Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo.
https://m.youtube.com/watch?v=upbVqLpdVmk
Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.