Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni Katika sherehe za miaka 60 ya Muungano Ngoja nifanye Mpango wa kuweka picha husika kutoka kwa Liberatus ukurasani X Mlale Unono 😄😄
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Nina mchumba wangu ambae kiukweli nampenda na mpaka sasa tuna miaka 3 katika mahusiano. Tuliishi vizuri japo yeye yupo kijijini kwani tulianza mahusiano akiwa bado shule nkamvumilia bila...
3 Reactions
76 Replies
8K Views
Vijana wa mjini Arusha wajulikanao kama Wadudu wamemuhakikishia mkuu wa mkoa huo mh Paul Makonda kwamba Wataujaza uwanja Siku ya Mei Mosi na Wanahamasisha Wana Arusha wote wawepo Uwanjani Makonda...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe,mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote? Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi? Nimeona serikali inataka...
4 Reactions
35 Replies
348 Views
Leo, Watanzania wote tunasherehekea kwa furaha na amani tele ya miaka sitini (60) ya Muungano wetu. Jimbo la Musoma Vijijini lilikua na ratiba ya siku kadhaa za kupanda miti na kufanya usafi...
1 Reactions
2 Replies
56 Views
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika? 2. Kwamba wao ni kama kwetu na Muroto hawa ndugu wakimnyooshea vidole jiwe, dhidi ya migomo na maandamano; kumbe na wao, ni...
1 Reactions
11 Replies
145 Views
Wakuu habari, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
1 Reactions
41 Replies
159 Views
Habarini za usiku wakuu. Leo nimepita mitaa fulani nikasikia vijana wenzangu fulani wakizungumzia jinsi wanavyotumia Vumbi la kongo(Kufunga lemba) na jinsi wanavyoifurahia nikagundua kuwa kuna...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari jf. Kwa wenye uzoefu wa hili jambo naomba mnisaidie ni ishara ya nini? Siku tatu nyuma nilienda kijijini kwetu kusalimia,sasa kama mjuavyo ndugu kijijini huwa ni wengi na ukifika huko basi...
1 Reactions
21 Replies
241 Views
Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi. Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
9 Reactions
98 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,138
Posts
49,509,375
Members
666,982
Latest member
nyamwitanga
Back
Top Bottom