Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Sticky
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi? Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe. Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe...
108 Reactions
28K Replies
3M Views
Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu kwenye uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye...
1 Reactions
19 Replies
63 Views
Nauliza kwa upole, tujadiliane bila jazba. Sidhani kama kuna mwanaume mwenye mpenzi au mke mmoja tu. Katika marafiki zangu milioni moja huyo mtu hayupo, labda useme huko hali ipoje. Nimejaribu...
4 Reactions
12 Replies
106 Views
Wawili hao wamewekwa mahabusu kwa masaa zaidi ya 40 kwa kosa linalodaiwa kuwa Uchochezi na kuzua Taharuki . Walikamatwa na Jeshi la Polisi kwa amri ya RPC Muliro ambaye ndiye mlalamikaji Mkuu ...
3 Reactions
10 Replies
313 Views
Awali ya yote wanakidoni Binafsi Huwa hatupendi kushabikia jambo bila kujuwa nyuma ya pazia Kuna Nini? Siku zote ukiona mtu wa operation ana expose ile operation basi ktk jicho lakijasusi maswali...
3 Reactions
23 Replies
589 Views
Ndugu zangu Watanzania, Jana hapa nilileta andiko langu nikasema kuwa nimefanya uchunguzi wa kina sana tena sana wa kuchunguza watu hawa wawili kati ya yule komandoo aliyekuwa kiongozi wa kikosi...
0 Reactions
4 Replies
12 Views
Habari wakuu Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo? Maana Jana kapanda...
2 Reactions
14 Replies
507 Views
Nyumba lazima iwe ya moto yaani wakati wowote kinahappen mara wametokea wamama wa vikoba wamefuata rejesho kwa mkeo maana bidada kakopa halafu kauchuna hataki kupeleka rejesho imebidi wamama...
4 Reactions
22 Replies
223 Views
Hii ni elimu kwa Umma, Karibu sana kujifunza Mara nyingi migogoro ya mirathi huanza pale mwenye mali anapofariki, na ni mara chache sana kuona viashiria ama hatari ya kuwapo kwa mgogoro wa...
2 Reactions
5 Replies
99 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,039
Posts
49,504,781
Members
666,941
Latest member
Ayubu popati
Back
Top Bottom