Hello, wapenzi wangu kama mnavyojua nyuso zetu zinakumbana na changamoto nyingi,kma chunusi, makovu, weusi kwenye macho na mambo mengi kutokana na sababu mbalimbali kama hormones, jua, vyakula n.k...
Katika MAISHA ya siasa unabidi kuelewa ubora wako unategemea na ubora wa mpinzani wako.
Unapomgeuza mpinzani kuwa adui unabidi kujua unaenda kujiua na kujiangamiza.
Adui -ni yule anayepambana...
JE, NDEGE INARUDI NYUMA?
Ndege nyingi za sasa zina mfumo wa kurudi nyuma #reverse' ambao mara nyingi hutumika kupunguza kasi wakati ikitua (#Braking).
Kwa baadhi ya ndege za 'Mapangaboi'...
Ni kweli kwamba Mvua inaleta demage karibu kila mahali inaponyesha, lakini kwa kweli kwa Tanzania ujenzi duni wa Barabara unaoongeza mno shida, hebu angalia Barabara hii, angalia kiwango cha lami...
JF, amani iwe nanyi.
Wakati chama Cha Mapinduzi CCM kikiendelea kujigamba kuwa na mgombea bora zaidi tangu kuanzishwa kwa vyama vingi mwaka 1992 au hata tangu Uhuru wa Taifa hili mwaka 1961...
Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida.
Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024...
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
Wataalamu wa sheria jamaa yangu amedharilishwa Kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu Ambae alikufa mwaka Jana Kwa ajali ya kugongwa na gari. Je, anatakiwa afanye nini ili ashtaki ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.