Ananisilimulia best yangu mmoja siku nyingi zilizopita " nilitoka na madam kwenda nae kwao mume wake alikuwa hayupo, akatoa godoro chumbani kwao na kuja nalo sebuleni na tukamalizana" mwisho wa...
Hey guys wa JamiiForums,
Kuna kasumba moja sasa hivi, mwanamke anakuwa na mwanaume wengi kutokana na tamaa binafsi walizonazo wanajikuta wanapata mimba za kushtukiza.
Kama mimba ni ya jamaa...
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa
- Hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533]
-...
TANESCO Kwani huwa mnaangalia nini au kuconsider nini? Kukata umeme, tena siku nzima ya jumapili?
Hii kero kubwa sana kwa sisi watanzania. Kweli tuwashe magenerator siku kama ya leo Jumapili...
Watu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga
Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya...
Wakuu habari za weekend
Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwenye Biblia kuna maandiko yanasimulia kisa cha watu wawili kuhusiana na utoaji wa sadaka
Katika mafundisho hayo Bwana Yesu aliendelea kuwaambia wanafunzi wake kuwa unatopotoa sadaka yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.