MITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa...
KICHWA Cha habari kinajieleza wakuu yaani naeweza kufungu app ya JAMII forum Lakini MB zinatembea vibaya mno katika GB 4 zinakauka fasta.
Wakuu inaweza kuwa shida Nini na nifanye Nini Kama Kuna...
Nanukuu maneno yake: “Mimi ni mdada wa Miaka 24 na ninaishi na boyfriend wangu wa Miaka 28. Tuna mihemko mikubwa sana ya kingono na tunakutana kimwili mara kwa mara.
Wote tunafanya kazi eneo Moja...
Kabla ya Ujenzi wa hekalu La Suleiman, Mambo yafatayo yanatangulia kwanza
1) Kutoa sadaka ya ng'ombe mwekundu.
2) Hii sadaka ni kwa ajili ya kutakasa eneo la Ujenzi wa hekalu.
3) Tayari wa Israel...
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com...
katika harakati zangu za kisiasa, kura za maoni kivyama huko Jimboni, mara hiyo tupo mjini na, ni wakati wa kulala huko guest house.
Sasa miongoni mwa wakuu wa msafara alikuepo mtu mzima, lakini...
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.
Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
Mahari ni shukrani ambayo familia ya mwanaume inatoa kwenda kwa familia ya mwanamke kama fadhira ya kutunziwa mke, ieleweke kwamba kutunziwa sio gharama za kumsomesha, chakula n.k kutunziwa mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.