Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimekuta na si mara moja, mwanamume anamchapa mtoto wake kuwa hataki kwenda "chuo"! /Madarasa. Nikamsihi asimchape mtoto (about4-6 yrs) hivyo. Akasema chuo ni lazima, kwingine wala sitamchapa...
0 Reactions
9 Replies
66 Views
Wakuu habari, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
10 Reactions
171 Replies
2K Views
Yaani kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajikita Kusoma sana tu Comments zenu basi ni katika huu Uzi wa leo.
3 Reactions
41 Replies
356 Views
Ni Joe Kusaga tena… Waswahili husema mwenye nacho huongezewa, sio sahihi. Mwenye nacho hujiongeza ndipo huongezewa. Mfanyabiashara na mwekezaji mkubwa nchini aliyejikitika zaidi kwenye tasnia ya...
9 Reactions
67 Replies
595 Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
13 Reactions
206 Replies
3K Views
Isiishie tu kusema na kukemea bali Bunge letu halina budi kutunga sheria kali dhidi ya vitendo vya ushoga; vitendo vya ushoga, ndoa za jinsia moja na uhamasishaji wa vitendo vya ushoga. Majirani...
1 Reactions
4 Replies
25 Views
Kwa hali hii nioe kweli? Kuna uncle wangu juzi kanywa sumu kisa amemfumamia mke wake. Huyo mke wake ni kicheche wa hatari hata mm hapa factor nimekimbiza sana lile gari, Kipindi hicho jamaa...
3 Reactions
10 Replies
540 Views
Mmeachana na Benchika nimefurahi sana, ana cv kubwa lakn uwezo wa kawaida tu, hana mbinu wala ufundi zaidi ya dharau,kebehi na kiburi. Wengi hamjui lkn Benchika ana shida, kiuongozi hayawezi...
0 Reactions
0 Replies
2 Views
Wakuu habari za weekend Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
3 Reactions
92 Replies
585 Views
Nimeshuhudia na kushiriki chaguzi nyingi ndani ya Chadema na ndani ya CCM,chaguzi nyingi ndani ya vyama vyetu zinavunja katiba za vyama hivyo kwa makusudi kabisa,wasimamizi wa chaguzi hizo kwa...
1 Reactions
2 Replies
22 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,214
Posts
49,511,887
Members
667,002
Latest member
JustinDrude
Back
Top Bottom