Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
0 Reactions
2 Replies
10 Views
Wakubwa habari za mida tena, nahitaji ku jenga Gaming PC, kwa kutumia parts kutoka AliExpress. Mimi sina uzoefu na kazi hii na sijawai kufanya jambo hili nataka, kwanzia mwezi wa 12, nianze...
5 Reactions
35 Replies
651 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
81 Reactions
556 Replies
13K Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
37 Reactions
369 Replies
16K Views
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi. Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
6 Reactions
38 Replies
866 Views
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....! Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio...
30 Reactions
423 Replies
16K Views
Habari wakuu Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo? Maana Jana kapanda...
0 Reactions
2 Replies
55 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,953
Posts
49,501,594
Members
666,900
Latest member
Unyade wade
Back
Top Bottom