Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya...
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana...
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndio koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. Pesa inaliwa...
Unakutana na kijana ana mwaka wa 4 anafanya saidia fundi
Unakaa unamshangaa , ina maana anafanya hii kazi pasipo malengo yoyote,
Kuna mawili , uachane na hiyo kazi au uwe tayali umejifunza...
Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo.
Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Anasema kocha wa BAYERN MUNICH, Thomas Tuchel
"Nmeiangalia Real. Madrid na wachambuz wangu. Ukiyachunguza sana magoli Yao au nafasi zao, na ukarejesha sekunde 10 nyuma, Huwezi kuona Kama wanakuja...
Kutokana na vijana wengi kukosa nguvu za kiume, story nyingi zimezuka kwenye vijiwe vya kahawa kuhusu mbinu mbalimbali za kumzalisha mwanamke,
1. Style ya kifo cha mende, hii imepata alama nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.