Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na...
99 Reactions
332 Replies
19K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Wakuu habarini za muda huu nipo zangu natoka Mwanza kuelekea sengerema nmepanda hii MV Mwanza kwakweli usafi wa vyoo sio mzuri hata kidogo na cha ajabu hivi vyoo naona vipo pembeni na canteen yao...
2 Reactions
4 Replies
13 Views
  • Poll
Jf amani iwe nanyi. Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s` Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
6 Reactions
253 Replies
6K Views
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika? 2. Kwamba kwao sasa ni kama kwetu tu na Muroto? Hawa ndugu wakimnyooshea kidole jiwe, dhidi ya migomo na maandamano...
3 Reactions
25 Replies
282 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views
Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu . Cha kushangaza kumetokea...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
43 Reactions
139 Replies
4K Views
Nimejiuliza sana, Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na...
8 Reactions
78 Replies
9K Views
Ulizingatia umri wako na wake, nidhamu, heshima na utii, uaminifu, upendo, hekima, busara, fedha, mali, kazi yake, hali na maisha ya familia yake au cheo chake... Au ulizingatia siha na tabia...
3 Reactions
29 Replies
308 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,167
Posts
49,510,149
Members
666,990
Latest member
swel
Back
Top Bottom