Wakuu mko poa lakini,
Turuke moja kwa moja kwenye mada
Ebanaee huyu manzi wa kuitwa Angel nimefahamiana nae miezi 5 kabla, kama zari tulianza kuwa kama marafiki tu wa kawaida.
Taratibu tukaanza...
Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego...
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi.
Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
Mwananchi mwenzetu na aliyekuwa dereva wa magari ya watalii, Omari Msamo ameuawa na askari wa Jeshi la Polisi, Wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha.
Omari Msamo ameuawa baada ya kusimamishwa na...
Swali #1.
Kati ya Mwanamke na Mwanaume nani ambaye husikia Utamu zaidi ya Mwenzake wakati wa Mbanduano Kitandani?
Swali #2.
Kati ya Yai na Kuku kipi kilitangulia Kuja / Kujitokeza?
Nimeambiwa...
Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.
Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi...
Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya...
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yameingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.