Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Zitto bado ni mkuu wa Chama na alicho kifanya ni staili kama ya Putini ya kuacha Uraisi na juwa Waziri mkuu na baadae kurudi kwenye Urasi. Putini akiwa Waziri kuu yeye ndie alikuwa anaendesha...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Jeshi la Polisi limewakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri wa zamani wa Miundombinu Dr Shukuru Kawambwa Aidha Jeshi la Polisi limemtaka mtu aliyerekodi tukio la udhalilishaji huo na...
9 Reactions
69 Replies
4K Views
Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
6 Reactions
67 Replies
1K Views
Na nakuomba kabla ya Kuja Kuhara hapa kwa huu Ukweli niliousema tuliza Akili zako zote na zilinganishe Picha zao sawa? Nimemaliza.
5 Reactions
45 Replies
882 Views
Katika Ulimwengu wa roho mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe na mwenyekiti wa CCM Rais Dr Samia wameongea kitu kinachofanana Mkuu wa Upinzani nchini anasema Wanaume wengi ni wa hovyo na wapambe...
1 Reactions
2 Replies
40 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa...
41 Reactions
3K Replies
128K Views
Kuna tatizo kidogo kwenye kiswahili maana kwa viongozi hata wakimaliza mda wao wanatanguliza vyeo walivotumia na kumalizia mstaafu. mfano raisi mstaafu,waziri mstaafu. ila kwa wengine ijalishi ni...
0 Reactions
7 Replies
83 Views
Ndugu wana JF, Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na...
133 Reactions
4K Replies
556K Views
Hivi kweli Currently hakuna Nchi ya kuitwa Tanganyika? Wajuzi wa Mambo naomba mtuambie hii imekaaje..... Natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
33 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,007
Posts
49,503,709
Members
666,913
Latest member
pali akili
Back
Top Bottom