Wakuu mimi nikijana mdog tu sana hata 22 sijafika najitegemea ila nimepatwa na hili janga choo nakiona kuzimu kila nikibanwa na gogo natamani nijifiche
Kwanza mimi sio mlaji sana haswa...
Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni
-Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja...
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yameingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya...
Anasema Mjumbe wa zamani wa Baraza la Mawaziri Dr Kigwangala " Ila kama Soja ndiye muuza Madafu binafsi nimependa sana umakini wa Vyombo"
Kigwangala ameongea ukurasani X
Sabato Njema 😂😂😂
Kuna tatizo kidogo kwenye kiswahili maana kwa viongozi hata wakimaliza mda wao wanatanguliza vyeo walivotumia na kumalizia mstaafu.
mfano raisi mstaafu,waziri mstaafu.
ila kwa wengine ijalishi ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.