Kuna mambo hapa tanzania hususani hii biashara ya Forex imekuwa na majigambo mengi yani mtu ana kuonesha kapiga usd 5000 kwenye news kama CPI,NFP na n.k bado hapo hapo anaweka group au darasa la...
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
Wakuu amani kwenu,
With due respect naomba kujuzwa masalafi ni nani na wahabi ni nani? Ni nini tofauti zao kiimani na kiutamaduni? Je, Wanachangama vipi na Waislamu wengine wa madhehebu tofauti...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Hakuna nchi duniani yenye uhuru usio na mipaka, hakuna na haipo, hata huyo fala wenu Mange Kimambi mnayemtuma amtukane na kumdhalilisha kiongozi wa nchi kuna siku ataingia kwenye 18 za watu atajua...
Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona.
Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.