Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wadau! Ukitaka kujua tabia nzuri au ngumu za baadhi ya wazazi subiri atakapokufa mmoja! Jambo kama hili huwa linatatulikaje? Baada ya kifo cha baba wa familia yenye watoto wakubwa na...
1 Reactions
15 Replies
257 Views
Muuza madafu katika Moja na mbili😊
4 Reactions
10 Replies
11 Views
Hii tamthilia ya Mpali ina story nzuri sana ambayo inaeleweka. Ni bwana Nguzu na wakeze sita kule shamba kwao. Sasa ukija kwenye tamthilia za kitanzania, unakuta story ni ndefu mpaka inaboa...
4 Reactions
28 Replies
452 Views
Maandamano yanayoambukizika ya vyuo vikuu maarufu nchini Marekani yameanza kuihofisha serikali kuu ya nchi hiyo. Nguvu zimetumika kuwatawanya wanafunzi wa chuo kikuu cha Columbia baada ya spika...
4 Reactions
49 Replies
1K Views
US imepitisha sheria kuwa Tik Tok ijiuze kwa kiampuni za Marekani ndani ya mwaka mmoja au ifunge biashara US. Kwa nini bunge limepitisha sheria hii nzito?
0 Reactions
1 Replies
8 Views
Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
33K Replies
2M Views
Mzuka wanajamvi! Haiwezekani mzee profesa na aliyehodhi mamlaka na madaraka za juu nchini na kulitumikia taifa letu kwa weledi adhalilishwe na kijana mbele ya camera na kusukumwasukumwa. Natoa...
8 Reactions
52 Replies
1K Views
Manufaa ya muungano tumeyaona, ni matamu sana kwa watanzania walio wengi. Kila kijana mzanzibar anatamani kwenda kuishi Tanzania bara, na wako watanzania bara ambao wanatamani kwenda Zanzibar...
9 Reactions
88 Replies
2K Views
Je, walifungia ndoa kanisani au msikitini?
9 Reactions
426 Replies
25K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,863
Posts
49,497,639
Members
666,861
Latest member
Mr Ntinginya
Back
Top Bottom