Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu nina degree ya Accounting and Finance nipo Arusha jinsia ni mwanaume kukaa home kunachosha. Kama kuna mtu ana sehemu anataka hata mtu wa kumbebea mafile Arusha mimi nipo.
7 Reactions
40 Replies
463 Views
Huwa unamfuta mwenzako au mkishamaliza kila mtu atajijua. Hujui kumfuta mwenzako ni kitu kizuri, unaishika unaingeuza huku na huku ukimfuta akiwa ametandaza miguu yake au amenyoosha miguu yake...
2 Reactions
16 Replies
89 Views
Ndugu wana jf poleni na majukumu Kwà kweli simuelewi mpenzi wàngu kabisa. Tokea niwe nae hajawahi kunipigia simu zaidi tuu yà kunitumia meseji basi japo mimi na mpigia simu na kumuungia vifurushi...
3 Reactions
12 Replies
194 Views
Taarifa iliyotolewa na Mabere Makubi kutoka Mwanza, inaeleza kwamba, Mtukufu Kagulumujuli ambaye ni Mkurugenzi wa Jiji hilo na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kutokea Wilaya ya Kinondoni, amefungua...
13 Reactions
51 Replies
3K Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
20 Reactions
5K Replies
208K Views
  • Sticky
Full name: Futbol Club Barcelona Nickname(s): Barça or Blaugrana (Team) Cules or Barcelonistas (Supportes)...
48 Reactions
33K Replies
2M Views
Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik...
4 Reactions
20 Replies
99 Views
Nimeajiriwa ngazi ya chini serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa. mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo. Nina mawazo kuacha kazi...
15 Reactions
78 Replies
1K Views
Tuwekane sawa #Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu. #Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa...
31 Reactions
193 Replies
7K Views
Akimaliza kupiga Tangazo mwamba anamtumia Demu wake na yakutolea, lakini unaweza kukuta Demu hata hamjali kivileee!
2 Reactions
4 Replies
199 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,160
Posts
49,566,651
Members
667,813
Latest member
mambatz
Back
Top Bottom