Salaam, Shalom.
Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri, matajiri nk nk.
Matumizi ya majiko ya...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Una miaka 30+ unafata nini club? Ushakuwa mtu mzima, unaenda club kusumbua na kuleta taharuki kwa wanafunzi wa chuo na watoto waliozaliwa 2005.
Unajaza tu nafasi club watoto wanashindwa kuenjoy...
Mwaka 1991 wakati USSR inavunjika mataifa kadhaa yaliyokuwa yanaunda umoja huo yalikuwa yanamiliki silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu. Ukraine lilikuwa ni taifa mojawapo lililokuwa...
Kuna mtu kachukua picha za marais wote waliowahi kuongoza Tanzania hakiwemo SSH na kuacha watu watoe maoni ya ni Rais gani bora kwake? Kati ya waliotoa maoni zaoidi elfu 3, JPM alikuwa anaongoza...
Ni kipindi kirefu kimepita nikiwa nimekwama kuamua yupi ni mahiri zaidi kwenye uandishi wa nyimbo za dini kati ya Bahati Bukuku na Rose Mhando. Kwanza, Hawa wamama wana uwezo wa ajabu katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.