Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba kufahamishwa sababu ya serikali kushindwa kuruhusu ujenzi wa vituo vya Gesi asilia kuenea nchi nzima. Nimeona wabunge wakilalamika bila kuadress issues haswa ni kwa nini Kuna vituo viwili...
5 Reactions
35 Replies
505 Views
Mfumo wa vyama vingi umeongeza Demokrasia na kupunguza Uzalendo Kwa mfano Leo Chadema badala ya kusherehekea Miaka 60 ya Muungano wao Wanaandamana mikoani kupinga Kikokotoo Uzalendo unatoweka...
2 Reactions
22 Replies
247 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Marekani wakitumia nguvu kuzima maandamo ya wanafunzi wa kupinga nchi yao kuwasaidia Isreal. Kwanini sasa Marekani wanapofanya nchi nyengine wanakuwa wakali sana? Sababu wanazotoa Marekani kuzima...
1 Reactions
3 Replies
48 Views
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari. Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
5 Reactions
56 Replies
936 Views
Unapoumwa Usikate Tamaa na Mungu Mwanadamu huumwa kutokana na sababu mbalimbali. Wakati mwingine ni kutokana na kutenda dhambi. Wakati mwingine ni kutokana na kukosa lishe ya mlo wa kila siku, na...
1 Reactions
1 Replies
48 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
381K Replies
10M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
511K Replies
29M Views
Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya...
0 Reactions
12 Replies
26 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,705
Posts
49,492,047
Members
666,799
Latest member
george izdor
Back
Top Bottom