Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
10 Reactions
185 Replies
7K Views
Happy birthday Muungano, how old are you now? 60 years!!! Leo tare 26/04/2024 Muungano wetu Kati ya Tanganyika na Zanzibar= TANZANIA Umetimiza miaka 60....huu ni umri wa mzee mtu mzima...
0 Reactions
3 Replies
16 Views
Siku hizi ni kawaida kama zitatangazwa ajira zozote za serikali vijana kuhangaika kutafuta watu wa kuwabeba maana kwenye vigezo watumishi wa serikali hawazingatii Vijana wengi wamekata tamaa ku...
1 Reactions
8 Replies
99 Views
kwa siku, wiki, mwezi au mwaka kwa upande wako unaspend muda mrefu na bando kubwa zaidi ya data ukiwa kwenye ukarasa upi miongoni mwa kurasa nyingi tu, za mitandao ya kijamii humu duniani...
1 Reactions
32 Replies
262 Views
Wasaalam mpendwa katika JMT 🇹🇿. Huenda mimi na wewe hatukuwepo wakati Muungano wa 🇹🇿 ulipozaliwa, ila leo tumepata Neema ya kuwepo unapotimiza miaka 60. Tumeingia kwenye historia hii kubwa. Nami...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
40M Views
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
8 Reactions
119 Replies
724 Views
Habari yenu wandugu. Hivi ni wangapi kati yenu baada ya muda kupita tangu kuanza mahusiano/kuingia kwenye ndoa zenu mmewahi kukaa chini ma wenzi wenu na kuwauliza mahusiano yenu yanaendelea...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Ajira ngumu, Kupoteza muda, Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara. Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo) Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na...
25 Reactions
202 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
136K Replies
8M Views

FORUM STATS

Threads
1,848,679
Posts
49,491,276
Members
666,801
Latest member
george izdor
Back
Top Bottom