Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Siku zote tunapowasifia Wazungu humu kwa Mambo mbalimbali, ikiwemo na ile Misaada ya Hali na Mali wanayotupa, Wajinga Wanatushambulia, kwa hoja kwamba tunawasujudia mabeberu. Haya tuwaulizeni...
31 Reactions
86 Replies
3K Views
Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga...
21 Reactions
73 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
150 Reactions
13K Replies
4M Views
India imevunja rekodi ya kujenga barabara ya njia 10 kilometers 100 kwa masaa 100 pekee Sisi tunavunja rekodi ya viongozi kuzurura duniani tu bila tija yoyote ile Habari katika picha =====...
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Kibu Denis amesaini mkataba wa miaka 2 kuendelea kusalia simba kwa Ada ya usajili ni milioni 350, mshahara wa 15 na Gari yenye thamani ya milioni 50. Kibu jumla atakusanya milioni 760 ndani ya...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Alphard for sale, year 2004,cc 2360, 2AZ engine, petrol, 68,000km, black color, Double sunroof, clean condition, automatic 0764423726 for more pictures
0 Reactions
1 Replies
42 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
21 Reactions
169 Replies
4K Views
Maktaba leo imetembelewa na Mwalimu wa Historia Dr. Francis Daud. Kilichomleta ni yeye kutaka kusikia kutoka kwangu kipi nikijuacho kuhusu mwanamapinduzi huyu. Sikiliza mazungumzo yetu...
0 Reactions
11 Replies
254 Views
Vipii ukoo jaman ngapingapi
0 Reactions
2 Replies
304 Views
Wamarekani wana mambo kweli. There is genocide in Xinjiang Vs There is no genocide in Gaza
2 Reactions
16 Replies
604 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,424
Posts
49,604,047
Back
Top Bottom