Hili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo".
Je, unaweza kutumia mbinu gani...
Tufanye umeambiwa uchague vyakula fulani bora ila vichache na itakubidi ndo uvile maisha yako yote usibadilishe aina nyingine me nadhani ambavyo ningeweza kufikiria vingekuwa ni.
1.parachichi...
Inashangaza unakuta mfanyakazi mwenzako kasoma Sawa ana master ila kuandika kuomba hela za miradi Kwa ma donors wetu hawezi sijui niseme hana idea wakati kila kitu kipo Google ni yeye kusuka tu...
1.watu ni lazima wale wapate nguvu mtu hawezi kufanya matendo ya kununua nguo, viatu, computer, kusafiri, kufukuzia mchumba kama hajala yaani lazima tu kipaumbele kiwe kula
2.rahisi kuikuza kwani...
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
Rafiki yangu mpendwa,
Kwenye safari ya kujenga utajiri, watu huwa wanashangaza sana.
Wengi wanapokuwa na miaka 20 na 30 huwa wanaona ni mapema sana kwao kuhangaika na kujenga utajiri. Hivyo...
Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII...
Kuna hizi bar hasa za daraja la kati na chini paka huwa wametamalaki wanakodolea macho, wanajipitisha kwenye miguu, wanangurumia wateja na wengine wanawarukia hadi kuwaparua wateja ili wawape...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.