Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Biggest mistake you can ever make is making someone else's happiness your priority "I made sure you were happy even when I wasn't" I felt that line🥹 Guys it's ok to be selfish and self centered...
1 Reactions
8 Replies
135 Views
Naunga mkono uwakilishi ni lazima ulingane na idadi ya watu. Wanzanzibari mfano haijulikani kwanini wawakilishi wao ni wengi sana wakati wapiga kura ni 500k tu. Lakini kuna majimbo mengi yenye...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni...
6 Reactions
91 Replies
852 Views
Friends and our Enemies, It is the last kick of a dying horse, ''How you do anything is how you do everything'' (Dante Alighieri)... Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu Kwa kuendelea kutupa...
0 Reactions
3 Replies
9 Views
Sheikh wa mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma akiambatana na viongozi wengine wa BAKWATA mkoa wa Arusha leo, Mei 07.2024 ameongoza sala maalum ya kumuombea kheri Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul...
5 Reactions
54 Replies
935 Views
Habari! Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Kumekuwa na wizi unaendelea majumbani mwa watu nyakati za usiku wa manane hapa Arusha , wanaiba haswa side mirrows za land cruisers , Exels za land cruisers, na vifaa vingine vya magari ya...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,039
Posts
49,593,562
Back
Top Bottom