Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba leo tarehe 06/05/2024, Balozi wa Marekani Nchini Tanzania amefika kwenye ofisi ya JamiiForums, Dar es Salaam
Habari kamili hii hapa
Wadau, habari ya majukumu bila shaka muwazima wa afya, kama na wale wenye changamoto ya afya, niwaoe pole.
Bila kupoteza muda, twende kwenye mada husika. Hili neno "kila nafsi itaonja mauti,"...
Jana weekend jioni nimekaa zangu sina ili wala lile nikaona nimcheki bro tunaishi wilaya moja ila maeneo tofauti tukasalimiana fresh nikaulizia kuhus familia yake akanambia shemeji yako kaondoka...
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka..
Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online.
Nifanyaje...
Salaam, shalom!!
Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,
Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio...
Habari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao...
Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu.
Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa...
Wanakumbi.
🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH
Taarifa Rasmi ya Hamas:
"Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.