Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wakuu? Moja kwa moja kwenye mada: Kuna mdada nilikutana nae kimapenzi tarehe 16/04/2023, baadae akadai ana mimba yangu. Mimi kwa kuwa nilikuwa na mashaka na ile mimba nikajipa muda nione...
6 Reactions
55 Replies
865 Views
Mwenyezi Mungu ni SHAHIDI kama kuna Mtu ambaye nadhani kama Watu ambao tumejitoa Kuwapigania Watu wakiwa na Maisha yao ya chini na tungelipwa Fadhila zao ( hasa Pesa ) basi leo hii GENTAMYCINE...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
155K Replies
8M Views
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
5 Reactions
154 Replies
2K Views
Nimetembea na wake za watu sana, kwa uozo nilioushuhudia niliapa kabisaa sintakuja kuoa ila leo nimetengua kauli yangu, jamani mapenzi matamu asikwambie mtu, duh! Nimempata binti, mtoto mdogo...
4 Reactions
35 Replies
212 Views
huwa nashangaa kumuona kilaza akiwachukia vilaza wenzie... Au mwizi anamchukia mwizi mwenzie mfano mwendanzake aliwachukia vilaza ila yule mzee alikuwa kilaza kwelikweli..
3 Reactions
13 Replies
76 Views
Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA. Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na...
2 Reactions
3 Replies
24 Views
Habari Wana JF ! Ni hakika Kwamba ni mambo (Siri) mengi yamefichwa Kwa mamillion ya watu Duniani kote , lakini ukijaribu kuwaambia watu Ukweli HAWAKUELEWI . Ni hivi Ulimwengu huu wa sasa...
5 Reactions
11 Replies
126 Views
Hii ni kwa mujibu Chama cha Madaktari Nchini Canada
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Komred Abdulrahman Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma. #KaaKaribunaRuningayako #ChamaImara #KaziIendelee
1 Reactions
14 Replies
158 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,060
Posts
49,563,453
Members
667,772
Latest member
Lili Levy
Back
Top Bottom