Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha...
Moja kwa moja kwenye mada…
Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe..
Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu.
Kuanzia...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Wewe ndio kocha kwenye timu yako, unatakiwa uchague mmoja kati ya Musiala au Bellingham kwenye kikosi cha kwanza unaenda na nani?
Jamal Musiala
Jude Bellingham
Wakuu nawaheshimu sana kwa kuwa kanuni mojawapo ya ubinadamu sahihi ni kuheshimu usiemjua mpaka utakapomjuwa:
Mimi ni miongoni mwao wafuatliaji wa muziki wa aina tofauti duniani, kama POP na SOUL...
Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.