Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

TUNDU LISSU TOFAUTISHA SAMIA NA RAIS SAMIA. MUUNGANO NI ROHO YETU Na, Suphian Juma Nkuwi. Salaams Watanzania wenzangu, Nimeona Kaka yangu kutoka mkoa niliyozaliwa wa Singida, Makamu Mwenyekiti...
0 Reactions
12 Replies
59 Views
Salaam kwenu wabongo wenzangu, Bila kupoteza muda naomba Kusaidiwa ushauri kama ifuatavyo; Ninataka cheti cha kuzaliwa cha binti yangu wa nje mwenye miaka 13. Nilipewa procedures kwamba niombe...
0 Reactions
6 Replies
115 Views
Neno linalotumika kutafsiri neno la AI artificial intelligence Kwa Kiswahili sio sahihi kuita akili bandia ni kupoteza maana halisi ya Ai artificial intelligence. Neno kwenye maana Bora iitwe...
0 Reactions
11 Replies
115 Views
Kama mwanamume nilijisikia vibaya ila kwa lile Traako no ilikuwa lazima nichape Kuna demu alipata kazi za muda mkoa ninaofanya kazi sasa kuna siku natoka kazini nikapitia hapo ofisi yao uwa...
0 Reactions
2 Replies
5 Views
1. Ndio waliotaka mfumo wa vyama vingi 2. Ndio waliofanya Tanzania bara izinduke kiupinzani wa siasa za upinzani 3. Ndio waanzilishi wa hizi Tv 4. Waanzilishi wa biashara 5. Hawanuniliki wapinzani...
0 Reactions
4 Replies
30 Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
27 Reactions
195 Replies
3K Views
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
25 Reactions
243 Replies
10K Views
Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi 1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake...
1 Reactions
12 Replies
85 Views
Mafundi waliopelekwa nyumbani kufanya ukarabati au ujenzi wa nyumba wametumia mwanya huo kuchora ramani na kukariri vitu mbalimbali kwenye nyumba hiyo, pale waliposafiri na kumuacha housegirl...
6 Reactions
28 Replies
362 Views
Hahahaaaa taja faida kwa ñini unaishi single!
1 Reactions
25 Replies
150 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,526
Posts
49,549,220
Members
667,529
Latest member
Gerard lupin
Back
Top Bottom