Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kutunza taarifa za biashara ni eneo la muhimu kwa kila mfanyabiashara. Hii husaidia kujua mali ilyotoka, iliyoingia, mali zilizopo, madeni, mauzo na faida au hasara iliyopatikana. Wengine...
1 Reactions
1 Replies
93 Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
34K Replies
2M Views
Ndugu zangu Watanzania, Huwa nashangaa sana ni vipi Lissu ni kiongozi ndani ya CHADEMA, ni vipi watu wenye akili timamu na wanaojitambua wanaweza kumpatia Lissu uongozi wa juu wa chama, nafasi...
0 Reactions
35 Replies
178 Views
Hivi mshawahi kujiuliza unapita mahali mtu kafungua frem au duka hata hamna wateja unajiuliza huyu mtu huwa anaweza vipi kulipa kodi wakati hamna wateja? Hili swali najiulizaga sana, nimekuta...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Socrates aliwahi sema"Akili kubwa hujadili hoja, akili ya wastani hujadili matukio na akili ya chini kabisa hujadili watu". Mjadala unao endelea sasa nchini kuhusu muungano ni muhimu kwa maslahi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
TUNDU LISSU TOFAUTISHA SAMIA NA RAIS SAMIA. MUUNGANO NI ROHO YETU Na, Suphian Juma Nkuwi. Salaams Watanzania wenzangu, Nimeona Kaka yangu kutoka mkoa niliyozaliwa wa Singida, Makamu Mwenyekiti...
3 Reactions
52 Replies
722 Views
Hili ni swali lenye lengo la kuhitimisha Mjadala wa kero za Muungano . Tunataka kujua kama Micheweni, Kikwajuni, Chakechake au labda Kizimkazi kama ameonekana DC yeyote mwenye vinasaba vya...
2 Reactions
17 Replies
218 Views
Nchi za Ulaya zina historia ya kuwa na ugomvi na Urusi Ugomvi huu una udini ndani yake Isingekuwa mkono wa Marekani, Urusi ingekuwa imeshavamia leo hapo Ukraine Ugomvi wa Ulaya magharibi na...
0 Reactions
7 Replies
43 Views
Naam!! Kitambo sijaandika Uzi humu. Mara nyingi ni mchangiaji ila Leo nimepata sababu ya kuandika kitu hapa labda kitawasaidia watu au kuwakumbusha tu. Kama wewe ni mtumishi wa umma au una ndugu...
10 Reactions
26 Replies
1K Views
Zamani nilijua wanaume ndio tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikuwa wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati...
12 Reactions
138 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,586
Posts
49,550,786
Members
667,543
Latest member
Winnie Urio
Back
Top Bottom