Nili lazimika kuwajulisha wazazi wake kwamba bint yenu ana hasira za mlipuko ili wajue mtu wa aina gani naishi nae hi ilikua simu ya pili anapasua kwasababu za kijinga eti kwanini sipokee simu...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Hakika hiki ni kichekesho! Katika siku muhimu kama Mei Mosi kwa wafanyakazi.wanaowazia hatima ya kazi zao, mishahara na mafao yao ya kustaafu, pension zao, kupandishwa vyeo na kila linalowasibu...
GTs,
Nimekuwa nikiona wana jukwaa mnavyomsema vibaya Christina kisa kuachana na mume wake Mzee Shusho.
Wengi wenu ni wanaume ambao hamjui hali aliyoipitia Christina ktk maisha yake ya kuolewa ktk...
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa.
Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar.
Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
Waziri Biteko hongera kwa kazi nzuri,ingawa sioni kwamba ni sawa hasa kukupongeza kwa kazi ambayo ni wajibu wako kama Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.Hata hivyo nimekupongeza kwa kuwa...
Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register
Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’.
Mshiriki atatakiwa kutaja...
Wachunguzi wa vikwazo wa Umoja wa Mataifa wameiambia kamati ya vikwazo ya Baraza la Usalama la umoja huo kuwa, mabaki ya kombora yaliyopatikana katika mji wa Kharkiv nchini Ukraine mnamo Januari 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.