Wakuu habari za weekend
Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
Wakuu habari,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 sasa, niko chuo X. Naomba niende straight kwenye point wakuu maana nahitaji msaada wa haraka sana. Nimetokea kumpenda binti flani ambaye niko...
Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏
Ndg zangu nimeamua kuandika uzi...
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
Waziri Biteko amesema kuwa tuyapokee matangazo ya TANESCO wanayoyatoa huku tukiamini kuwa ni ya nia njema. Kuna matangazo yanatolewa kuwa watazima umeme kwa ajili ya matengenezo halafu unakuta...
Ukitoa mafanikio ya kufungua wasap channels, Manzoki kuja kwenye uchaguzi, KIbu denis kuikanda Yanga Sc mara mbili mfululizo pamoja na kuishia Robo klabu bingwa Afica kama ilivyozoeleka Simba sc...
Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa Real Madrid alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya Barcelona, mechi hiyo inayofahamika kwa jina la El Clásico ilimalizika...
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yameingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya...
Katika mambo ambayo yamekuwa yakieleweka vibaya, kukanganya na pia kuzua dhihaka kutoka kwa watu wasioipenda Israel ni pamoja na hili la kupewa misaada wa jeshi/ silaha na Marekani pamoja na kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.