Rumor has it mzee wa hulisi kamtwanga dada wa bango la valentine talaka moja na mke wa pili juu......
Tatizo sio kuachika, tatizo ni kujishaua sana my husband this my husband that, vikiumana...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
CHUKUA TAHADHARI KUBWA UNAPOJIINGIZA KWENYE KAHUSIANO NA WANAWAKE WAFUATAO.
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
1. MWAMAMKE ALIYEKO KWENYE MSONGO WA MAWAZO
Unapojiingiza katika mahusiano na...
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti.
Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona...
PASSPORT ZANZIBAR NI MTEGO
Mkikubaliana na huu MTEGO huu
Ni moja ya mlango wa kuvunja Muungano. Mtu anayekuambia anaupenda Muungano alafu anataka mtu aingie Zanzibar Kwa passport ni mnafiki. Mbinu...
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.
Mitungi jamani mitungi jamani...
Kila nikitafakari naona wazee wa Kataa ndoa wapo sahihi hasa baada ya kusoma kitabu kiitwacho '
The Manipulated Man
by Esther Vilar (1971)'
Muandishi wa kitabu hicho ni mwanamke ambaye kwa kifupi...
Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao.
1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.