Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nahitaji Either Prius au Aqua moja. Anayeuza anicheki. iwe kwenye hali nzuri. na usajili uwe na E. offa 15m inbox
2 Reactions
1 Replies
211 Views
Inatia hasira. Wana fedha kaeni mkijadiri iweje jero ya k iwe 10elf ya bongo This is not right
0 Reactions
2 Replies
6 Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa mujibu wa nguli wa muziki wa dansi nchini, marehemu Remy Ongalla, muziki ni burudani, furaha, huzuni, nk. Hapa anamaanisha kuwa muziki ni...
6 Reactions
56 Replies
612 Views
Mtumishi mwenye Mkataba namba Na. SMC/CW/PF.113/3 amefika Ofisini kwetu na ameomba tupaze sauti kwa niaba yake. Hii hapa historia fupi ya malalamiko yake. Wakati wa zoezi la uhakiki wa Watumishi...
7 Reactions
26 Replies
853 Views
Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili. Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali...
6 Reactions
50 Replies
768 Views
asalaam Aleykum warahmatullahi wabarakatu. Kwa heshima na Taadhima, nawaomba Baraza la malumaa pamoja na Mwenyekiti wao wauchunguze msikiti huu wa Kingo uliyopo Morogoro ambao hivi sasa upo...
0 Reactions
9 Replies
88 Views
Ni vigumu kueleza tukaeleweka, bali unachotakiwa kufahamu ni kwamba wakati wao wanamalizia kuuza eneo la Bahari, baada ya kumaliza kuuza mbuga na ardhi, Tundu Lissu yuko Huko Singida akifundisha...
0 Reactions
3 Replies
57 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Nina uhitaji na PC kama uko Dom una PC umeichoka ila ni nzima na nzuri niuzie kwa bei ya kitanzania ya kulia lia nami inisogeze kwenye mambo yangu Fanya kama unanisaidia
1 Reactions
2 Replies
32 Views
Pichani Madonna na mtoto wake Banda aliye mchukua kwenye kituo cha watoto yatima nchini Malawi Akiwa na miezi 13 sasa amekuwa kijana mkubwa
5 Reactions
25 Replies
818 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,939
Posts
49,789,554
Back
Top Bottom