Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana harafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi...
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
👉Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi.
👉Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni.
👉Mkakati wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na...
Cha ajabu hadi leo nauli hazijatoka ata matangazo kwenye redio na tv, hamna kuwajulisha wananchi mbalawa na kadogosa. Mlisema kweli au kamba ngoja tuone zimebaki siku 10 tu Morogoro iwe saa 1 na...
Yaani badala ya wakala kubandika namba za kutolea pesa za mitandao tofauti tofauti, aweke namba moja tu ya wakala na wateja wenye line za mitandao yote waweze kutoa pesa kwa kutumia namba hiyo...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amosi Makalla amemshauri aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.