Dodoma imekuwa na vibaka wa hatari sana ukofanya wiring na kuweka umeme kesho yake wanachukua kila kitu. Kuna baadhi ya nyumba hata wiring yenyewe wanafumua yote kabisa.
Juzi wamenichukulia Main...
Mimi ni mkazi wa Kawe, Dar es Salaam, nina imani Nchi yetu kwenye Sheria za ardhi kuna maeneo specific kwaajili ya ujenzi wa Makanisa na Misikiti, kwa habari za Misikiti wanajitahidi sana na...
Nahisi baada ya muuaji, dhambi inayotakiwa ifuatie kwa adhabu kubwa basi ni ya Mwizi.
Bila kuangalia kaiba kitu gani wala chenye thamani gani, maana thamani ya kitu inategemeana na hali ya mtu na...
Kuna mila na imani nyingi saana potofu. Niliishi kwa wajita huko kijiji fulani karibu na kibara. Kuna siku nyoka mkubwa aina ya kifutu alionekana cha kushangaza badala ya watu kuanza kumshambulia...
Ni baada ya leo kuichapa ManCity 2-1 uwanja wa Wembley huku golikipa Onana akiwa man of the match.
---
Manchester United imefanikiwa kubeba Ubingwa wa FA Cup 2024 kwa kuifunga Manchester City...
Viongozi tendeni wema kwa Watu wote na Mungu wa mbinguni atawapigania mjapopita Katikati ya Bonde la uvuli wa mauti.
Muangalie Tundu Lissu aliposhambuliwa na risasi dereva alimvutia Upande wake...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na...
Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda...
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU).
BY ISSAI SINGANO .
(Singano jr).
DIBAJI
Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.