Wanajeshi wa Russia wameingia katika kambi ya Jeshi la Anga la Niger ambayo pia ina wanajeshi wa Marekani baada ya serikali ya Niger kuamuru vikosi vya jeshi la Marekani kuondoka nchini humo...
Taarifa mpya inaonyesha kwamba, Baada ya Maandamano ya Wiki nzima ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za uchaguzi, yaliyoandaliwa na Chadema kwenye baadhi ya maeneo kufanikiwa kwa 100%...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile
Je siku akitokea...
Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo...
Leo kanisani nilikuwa na Kigogo mmoja wa UVCCM mkoa wa Pwani ambapo alinipa ABC za vita yao na mwanamitandao Mange Kimambi.
Jamaa ameniambia mwaka huu lazima mwadada huyo aombe msamaha rais na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.