Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bahati nzuri mpaka sasa hakuna dawa ya kuponyesha kabisa Warts..!! Ukienda hospital wanazichoma na kuzikwangua, Unakaa kaa zinarudi tena kwa kasi...!!
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Suggestion
Tanzania tuitakayo ni lazima Serikali yetu itengeneze miundombinu ya raia wake kupata ajira ya kudumu na hilo litasaidia rushwa kupungua kama sio kuisha kabisa, mfano: katika familia ya watu 11...
0 Reactions
1 Replies
5 Views
Mimi sio shabiki wa KATAA NDOA ila kwa hili wapo sahihi OKOA kibunda
11 Reactions
20 Replies
308 Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
14 Reactions
211 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini?? Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana...
0 Reactions
52 Replies
478 Views
Ifike Mahali viongozi wa Tanzania na hasa Mamlaka ya Uteuzi ijaribu kuwaheshimu Wananchi wake , hata kama ni Wajinga, duni ama Mbumbumbu. Uteuzi wa Kagurumujuli, kada wa CCM aliyesababisha mauaji...
14 Reactions
83 Replies
7K Views
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi. Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua? Kufuatilia hali...
5 Reactions
267 Replies
13K Views
Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe. Aidha Lissu...
16 Reactions
135 Replies
4K Views
Ndio tittle ya uzi huu... Sote tunajua matokeo ya mabadiliko ya sayansi na teknolojia kupelekea vijana wengi kutumia fursa hio vizuri wengine wanatumia vibaya. kuna watu wanatumia teknolojia...
3 Reactions
5 Replies
40 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,000
Posts
49,561,926
Members
667,720
Latest member
AISHAT RASHID
Back
Top Bottom