Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Listen comrades, ukiwa nice guy kwenye soko la mahusiano kuna uwezekano mkubwa zaidi ukapata bidhaa ambayo tayari ishachakachuliwa na ipo nyang'anyang'a baada ya kutumika na wengi kwa muda mrefu...
0 Reactions
10 Replies
107 Views
SABAYA NI MOJA YA VIONGOZI WENYE UWEZO MKUBWA SANA KUSIMAMIA SERA NA ILANI YA CHAMA Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA Mimi ni kati ya watu wanaoamini kwamba "MAPUNGUFU YA BINADAMU NDIO...
1 Reactions
26 Replies
178 Views
Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za mei mosi eti kwa sababu kikokotoo NI mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote / ccm katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa...
8 Reactions
45 Replies
755 Views
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
3 Reactions
96 Replies
1K Views
Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa
6 Reactions
64 Replies
2K Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
26 Reactions
315 Replies
6K Views
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na...
4 Reactions
40 Replies
767 Views
Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views
Wakaka njoeni hapa usishushe nguvu ya mwanamke kwenye kulipiza kisasi Cha mapenzi.....huwezi kujua atafanya nini. Kuna mkaka mmoja alikuwa ameoa shida alikuwa anasaliti sana kwenye ndoa yake...
1 Reactions
16 Replies
92 Views
Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli. Sitii langu hapa kwa sasa, jionee mwenyewe: Chanzo: https://youtu.be/_rImiIvDHnI?si=jVvGaHv0PVX-7CeH
0 Reactions
10 Replies
715 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,044
Posts
49,563,059
Members
667,755
Latest member
Ombin
Back
Top Bottom