Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona. Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili...
5 Reactions
79 Replies
2K Views
Habari Iko hivi, kuna ndugu yangu mmoja, tuseme ni classmate wangu ana MKE na WATOTO watatu. Sasa Kuna lizee limoja lilikuwa linamtongoza huyo MKE wa jamaa. Katika harakati zakutongozana mzee...
18 Reactions
61 Replies
2K Views
Yaani VICOBA ili kujikwamua katika hili na lile...ni wazo tu waungwana....au ninyi mwafikirije?
8 Reactions
34 Replies
199 Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
16 Reactions
179 Replies
5K Views
Mwanamke Kuwa na maji mengi sio dhambi. Shida inaanzia tu wakati wa chakula. Ushauri kwa tuliokutana na hili, kuna njia gani nzuri ya kula bila kukeleka na wingi wa maji? Maana mie simtamani tens...
0 Reactions
6 Replies
25 Views
  • Suggestion
Serikali itizame katika mambo yafuatayo ili kuhakikisha Tanzania tunapiga hatua katika kilimo kwa miaka ijayo. 1. Kuhakikisha wakulima na wafugaji wanapewa elimu itakayowaongoza katika...
0 Reactions
1 Replies
28 Views
Ndugu zangu wana jamiiforums habari za asubuhi hii ? kwangu mimi ni mzima wa afya na nipo sawa kabisa Sina cha kupoteza Kama mnavyoona hapo juu kwenye bandiko. Jana jioni mida ya saa moja nikiwa...
37 Reactions
254 Replies
15K Views
RAIS SAMIA AWEKWE KWENYE FEDHA, TUACHE WIVU NA CHUKI. Na; Suphian Juma Nkuwi Nilishalisema sana hili humu mtandaoni tangu Mhe. Rais Dkt Samia akiwa na miaka miwili ya Utumishi wake Ikulu. Na...
7 Reactions
159 Replies
4K Views
Haiingii Akilini Mlinzi unaagana nae Usiku Saa 4 unamuacha kakaa Lindoni huku Taa inammulika, ukiamka Usiku Kimachale ili nawe pia kufanya Lindo lako la Kisirisiri kwani Siku hizi hakuna...
0 Reactions
5 Replies
69 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,718
Posts
49,553,659
Members
667,580
Latest member
Juma pindi
Back
Top Bottom