Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
16 Reactions
87 Replies
5K Views
Na ikiwezekana wakamatwe Wew unajijua juu mpana kama kabati hlf vitraco kama fundi gereji au sawa traco lipo ila sasa halieleweki ni kama limegawanyikagawanyika kama boflo na viguu vyako kama...
4 Reactions
10 Replies
213 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika sherehe za leo zinazoendelea mkoani Arusha na kwa nanmna zilivyofaana na kupendeza na kuvutia na kubwa zaidi kwa namna watu walivyofurika na kumiminika ni haijawahi...
6 Reactions
83 Replies
1K Views
Wasalaam keyboard warriors.. Kuna ile hali unajikuta unampenda sana mtu pasipo yeye kujua au pengine anajua ila unajizuia kumwambia ili muingie kwenye mahusiano au kufanya nae mapenzi kutokana...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
Boy friend wangu yupo masomoni mwaka mzima,nilipozidiwa nkaanza tabia ya kutoka njee na bosi wa clearing and freight foward then kitabia cha kutoka na wenye hela kikashika kasi tena sana hapa...
22 Reactions
522 Replies
36K Views
Chidy benzi amesema nusu ya wasanii wa Bongo wa kiume wanalika akimaanisha kwamba ni "mashoga" Chidy benz angetaja list kabisa Video hii hapa👇🏻...
1 Reactions
38 Replies
689 Views
Nakubaliana na hotuba aliyo itoa Makamu wa Rais dkt Philipo mpango alipokuwa akihutubia wafanyakazi katika maadhimisho ya Mei mosi 2024 Jijini Arusha. Vita vinavyo endelea katika mataifa hayo...
1 Reactions
3 Replies
31 Views
Kufuatia kauli aliyoitoa hadharani siku chache baada ya muasisi wa Tanzania, Julius Nyerere kufariki Oktoba 14, 1999 Mtikila alisema “Nyerere alifariki kwa ugonjwa wa UKIMWI, ni mzoga, nyamafu na...
4 Reactions
16 Replies
850 Views
Tumugoje tumuleshe? Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?" Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke...
28 Reactions
225 Replies
9K Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 1 MEI 2024 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za...
3 Reactions
56 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,141
Posts
49,538,564
Members
667,336
Latest member
604
Back
Top Bottom