Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwanini uki ishi nchi za wenzetu zilio endelea zenye ajira nyingi maisha mazuri safi good hygiene medical care nzuri nk. Lakini stress miogoni mwa wstu ziko high mpaka kusababisha high blood...
18 Reactions
90 Replies
1K Views
Kumekucha Arusha naona mwitikio mkubwa wa wafanyakazi je! Wamelazimishwa?(tetesi) na je kama ni Kwa hiari yap wanamategemeo Gani? Sina hakika kama Kuna jipya maana Kwa mara ya kwanza mgeni...
11 Reactions
34 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi zaidi ya inavyosomeka hapo juu. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania...
5 Reactions
28 Replies
446 Views
DONE DEAL ✅ Tumefikia makubaliano na klabu ya Stade Malien (Mali) ya kumsajili kiungo mshambuliaji wao, Franck Tiesse. Nyota huyo Muivory Coast, amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili...
2 Reactions
8 Replies
305 Views
Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha.. Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo.. Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama...
3 Reactions
9 Replies
313 Views
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema kampuni ya DP World ya Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeanza kushusha vifaa katika Bandari ya Dar es Salaam kuanza uwekezaji...
6 Reactions
42 Replies
712 Views
(Tahadhari) Video ikimuonesha mwanamgambo wa hamas akiwashambulia kwa kisu polisi walio kuwa wanapita katika mitaa ya Yerusalemu lakini kwa bahati nzuri au mbaya kwa mwanamgambo huyo amepigwa...
0 Reactions
10 Replies
131 Views
Maisha yamejaa mambo ya kushangaza sana, ambayo Kuna wakati hutufanya tujutie juu ya uwapo wetu hapa ulimwenguni na kila changamoto inayo kuja hutupa hali ya upofu ile ya kutojua nini cha kufanya...
1 Reactions
1 Replies
27 Views
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
8 Reactions
316 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,058
Posts
49,536,373
Members
667,317
Latest member
jafusadiki
Back
Top Bottom