Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyu mtu naona katumwa siyo bure kabisa. Anasema kama mzalendo anamshauri Rais asiongeze mishahara ili fedha hizo zikatatatue kero za mafuriko na kwenye uchaguzi WA serikali za mitaa. Huyu...
4 Reactions
22 Replies
853 Views
Binafsi ushawah kumtabiria makubwa mchezaj halafu ghafla ukashangaa anapotea kwenye raman ya soka ama kwa kushuka kiwango, majeraha ,au kuhama timu moja kwenda nyingine? Kwa mtazamo wangu...
8 Reactions
54 Replies
998 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Karibuni!! Ila ninahishi CCMhuwa inazalisha tatizo likiwa kubwa wanaliondoa, wanajipongeza kwa kuliondoa.
0 Reactions
4 Replies
37 Views
1. Kudhibiti ulimi. Siyo kila hali unaongea kuna wakati unapaswa kukaa kimya 2. Jifunze kutulia ni bora kuliko kufanya drama / kuishi maisha ya mtandaoni. 3.Kubali kuna vitu haujui na umezidiwa...
6 Reactions
13 Replies
863 Views
Je ni vibaya kwa mwanamke kumuomba mwanaume namba ya simu ikiwa mwanume anachelewa na kuona aibu ku make the first move but kila mki bump into each other anakuchekea, anakusifia Ana act as a...
6 Reactions
38 Replies
511 Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
4 Reactions
46 Replies
917 Views
Match day 24. Kuna timu zina mechi 23 na mechi 22 katika game 30 za ligi kuu ili kukamilisha msimu wa mwaka 2023-2024 Vinara wa magoli. 1. Ki Azizi - 15 2. Fei Toto - 14 3. Shentembo - 11
2 Reactions
2 Replies
146 Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
6 Reactions
298 Replies
9K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
512K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,850,031
Posts
49,535,640
Members
667,302
Latest member
kitenge ahmad ally
Back
Top Bottom